Baadhi ya wanasiasa kutoka kaunti ya Garissa, wanalalamikia kile wanachodai kuwa ni unyakuzi wa ardhi ya umma yenye ukubwa wa kilomita arobaini mraba