Surprise Me!

"Mimi ni kiboko wa Sarah wa Harmonize " Jack Wolper

2018-04-11 2 Dailymotion

Mrembo kutoka kiwanda cha filamu Bongo, Jacqueline Wolper amekanusha tetesi alizozitoa mpenzi wa Harmonize, Sarah kwamba anamsumbua mpenzi wake, Harmonize.