Nyashinski alivyoperform katika Tamasha la #NRGWave Nairobi, Kenya April 28 Carnivore na kushare stage na Rick Ross. ilikuwa hivikwa updates zaidi fasta fasta, nicheki Asante Precision Air kwa kufanikisha Safari ya Nairobi.