Mambo vipi? naona watu mmeamka na kuzinduka usingizini.....hapana chezea.....hii ni sehemu ya pili katika muendelezo wa MAPENZI NA MAHUSIANO......video inayosema mwanamke jifikishe kileleni mwenyewe.
Naimani sehemu ya pili tutaenda sawa....jamani hii video nimeitoa kwa mapenzi yangu.....sikulazimishi wewe kufanya kama nilivyosema kama unahisi ni Dhambi au maadili mabaya....pita kimya......
ukiweka comment ya matusi unafikiri ndio ntakuelewa? au kukujibu la hasha! utakuwa unapoteza muda wako......kama huniingizii pesa wala kunipa chakula jua hunisaidii kitu....kikubwa unanipenda na ndio maana
unanifuatilia......haya endeleeni kupata uhondo......
Wanaokoment upuuzi wanawaponza na ninafungia comment.
kama unajua yote umefuata nini hapa?
Wale tunaolewana endeleeni kupata uhondo na kuburudika na video za Dada wa Kitumbua Originalee....Sindano ya woteee....Inapenya tuuu....