Surprise Me!

Mwalimu Mkuu afunguka ukweli wake | walivyomkamata Mwalimu aliechapa viboko

2018-09-03 25 Dailymotion

Mwalimu Mkuu wa Shule ya msingi Kibeta ambapo mwanafunzi amepigwa na kufariki ametoa maelezo yake kwa Mkuu wa Mkoa kabla ya Kusimamishwa kazi huku akijitetea kuwa siku ya tukio alikuwa mtaani anatafuta watoro sugu