http://www.ktnkenya.tvSaa chache tu kabla ya kupigwa kalamu, Francis Kimanzi alizungumzia kutofuzu kwa Kenya katika dimba la bara afrika na kusalia ya mwisho katika kundi la sita la kombe la dunia.